Home » News & Politics » MAPYA YAIBUKA! KABLA ya KUJIUA, JOE ALIACHA FUNGUO ZA GARI LAKE CHINI YA MLANGO wa OFISI YAKE!

MAPYA YAIBUKA! KABLA ya KUJIUA, JOE ALIACHA FUNGUO ZA GARI LAKE CHINI YA MLANGO wa OFISI YAKE!

Written By Global TV Online on Friday, May 26, 2023 | 12:15 PM

 
MAPYA YAIBUKA! KABLA ya KUJIUA, JOE ALIACHA FUNGUO ZA GARI LAKE CHINI YA MLANGO wa OFISI YAKE! oel Misesemo (MC Joel) aliyefariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza, Makumbusho jijini Dar es Salaam amezikwa leo, Mei 26, 2023 katika Makaburi ya Kinondoni. Taarifa za jeshi la polisi, zinaeleza kuwa marehemu alionekana katika jengo hilo Mei 23, 2023 majira ya saa kumi na moja alifajiri ambapo alimwambia mlinzi wa jengo hilo kuwa anaenda kufanya ibada kwenye sehemu ya kuabudia iliyopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo lakini muda mfupi baadaye alijirusha. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx