Home » News & Politics » UTAPENDA! TAKUKURU RUKWA WALICHOKIFANYA KWA WAGONJWA HOSPITALINI...

UTAPENDA! TAKUKURU RUKWA WALICHOKIFANYA KWA WAGONJWA HOSPITALINI...

Written By Global TV Online on Saturday, Dec 10, 2022 | 03:03 PM

 
UTAPENDA! TAKUKURU RUKWA WALICHOKIFANYA KWA WAGONJWA HOSPITALINI... Taasisi ya Kupambana na kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa Katika kuadhimisha kilele cha siku ya Maadili na Haki za binadamu wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa iliyopo Katika Manispaa ya Sumbawanga kutoa Msaada wa mahitaji ya msingi na Elimu ya kukabiliana na vitendo vya Rushwa Katika upatikanaji wa huduma za Afya na kuwajengea uwezo namna ya kuripoti vitendo vya Rushwa. James Mbungano ambaye ni Afisa wa TAKUKURU Rukwa ameeleza kuwa lengo la kutembelea Katika Hospitali hiyo ni kuhakikisha kuwa wagonjwa pamoja na watu wengine wanatambua umuhimu wa kuzuia vitendo vya Rushwa na kuripoti ili kila mtu aweze kupata huduma za kiafya bila upendeleo. Mwitikio wa wanajamii Mkoani Rukwa uneonekana kuwa hafifu Katika kuwatembelea na kuwasaidia wagonjwa kama anavyoeleza Joyce Sangala ambaye ni muuguzi Katika hospitali ya Rufaa huku baadhi ya waliyopatiwa msaada huo wakitoa wito kwa wadau wengine kuendelea kujitokeza na kuwasaidia wahitaji. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline