Home » Sports » Majaliwa achangiwa zaidi ya shilingi milioni tano na wabunge

Majaliwa achangiwa zaidi ya shilingi milioni tano na wabunge

Written By Azam TV on Friday, Nov 11, 2022 | 06:57 AM

 
Wabunge wa Bunge la Tanzania wamemchangia ‘Shujaa’ Majaliwa Jackson, kiasi cha shilingi 5,023,000, wakimpongeza kwa ujasiri aliouonesha wakati wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba - Kagera.