KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL IBADA YA MORNING GLORY
SOMO: HARI YA MAISHA
MHUBIRI 6: 3 - 4
MHUBIRI: MWL. MUSSA MUSSA
......................................................................................................................................
ZABURI 67: 5 -7
5 Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
6 Nchi imetoa mazao yake MUNGU, Mungu wetu, ametubariki.
7 Mungu atatubariki sisi; Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
MHUBIRI 6: 3 - 4
3 Mtu akizaa watoto mia moja, akaishi miaka mingi, hata siku za maisha yake zikiwa nyingi, lakini nafsi yake haikushiba mema; tena ikiwa, zaidi ya hayo, amekosa maziko; mimi nasema, Heri mimba iliyoharibika kuliko huyo;
4 Yaani, hiyo huja katika ubatili, na huenda gizani, nalo jina lake limefunikwa giza
EZEKIELI 31: 2- 6
2 Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri, na jamii ya watu wake, Je! Umefanana na nani katika ukuu wako?
3 Tazama, Mwashuri alikuwa mwerezi katika Lebanoni, wenye matawi mazuri, na kifuniko chenye uvuli, na kimo kirefu; na kilele chake kilikuwa kati ya matawi mapana. 4 Maji yalimlisha, vilindi vilimsitawisha; mito yake ilipita pande zote za miche yake; naye akatuma vijito vyake kwa miti yote ya shambani.
5 Basi kimo chake kilitukuzwa kuliko miti yote ya shambani, na vitanzu vyake viliongezeka; matawi yake yakawa marefu, kwa sababu ya maji mengi, alipoyachipuza.
6 Ndege wote wa angani walifanya viota vyao katika vitanzu vyake, na chini ya matawi yake wanyama wote wa kondeni walizaa watoto wao, na chini ya uvuli wake mataifa makuu yote walikaa.
HESABU 14: 9
9 Lakini msimwasi BWANA, wala msiwaogope wale wenyeji wa nchi, maana wao ni chakula kwetu; kinga iliyokuwa juu yao imeondolewa, naye BWANA yuko pamoja nasi; msiwaogope.
.....................................................................................................................................
KARIBU UMTOLEE MUNGU SADAKA YAKO KUPITIA NAMBA:
-----------------------------------------------
WAKALA WA M-PESA & NAMBA YA MPESA
579 579 4 || 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
Kwa Taharifa na matukio mbalimbali tembelea katika mitandao yetu:
Instagram page: https://www.instagram.com/kkkt_azaniafront_cathedral/
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook: https://www.facebook.com/KKKT-Azania-Front-Cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #ibada #morningglory