Home » News & Politics » TAMKO LA MTENDAJI MKUU CMSA kwa VIJANA WA KAMPUNI YA JATU WALIOKATAA KUAJIRIWA...

TAMKO LA MTENDAJI MKUU CMSA kwa VIJANA WA KAMPUNI YA JATU WALIOKATAA KUAJIRIWA...

Written By Global TV Online on Monday, Nov 23, 2020 | 09:39 AM

 
TAMKO LA MTENDAJI MKUU CMSA kwa VIJANA WA KAMPUNI YA JATU WALIOKATAA KUAJIRIWA... Mtendaji mkuu wa Masoko, Nicodemus Mkama, ameipongeza kampuni ya JATU PLC kwa kuzalisha ajira zaidi ya Elfu Kumi huku wengi wao wakiwa wanawake na wakina mama... Hayo yameelezwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) CPA Nicodemus Mkama, leo jjini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuorodheshwa kwa hisa za JATU Plc katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE.) "Nawashukuru wadau wa sekta ya fedha kwa kuhudhuria hafla hii ya kuorodheshwa kwa hisa za Kampuni ya JATU PLC kwenye soko la hisa la Dar es Salaam, huu ni uthibitisho kwamba sekta ya fedha ina wadau wengi wanaounga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli iliyoweka mazingira wezeshi ya kiutendaji yenye malengo ya kukuza uwekezaji kupitia masoko ya mitaji." Ameeleza Mkama ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline