Home » Entertainment » Tundu Lissu, NEC iliposimamisha, kufanya kampeni, CHADEMA, yatoa tamko, rasmi

Tundu Lissu, NEC iliposimamisha, kufanya kampeni, CHADEMA, yatoa tamko, rasmi

Written By Swahili Villa Online TV | Washington, D.C on Sunday, Oct 04, 2020 | 08:32 AM

 
Kupitia, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Freeman atoa tamko kuhusu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) kumsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, kutofanya kampeni kwa muda wa siku saba, kwa madai ya kukiuka kanuni na taratibu za uchaguzi.