Home » Sports » Magoli yote | Azam FC 4-0 Fountain Gate: Mechi ya Kirafiki - 12/10/2020

Magoli yote | Azam FC 4-0 Fountain Gate: Mechi ya Kirafiki - 12/10/2020

Written By Azam TV on Monday, Oct 12, 2020 | 02:13 PM

 
Azam FC imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL) katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Wafungaji wa magoli hayo ni Mudathir Yahya, Ismail Aziz na Prince Dube aliyefunga mawili. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz