EXCLUSIVE: MAMA RWAKATARE Afunguka MAISHA Yake - "NILITEMBEA PEKU kwa Kukosa VIATU"
Watu wengi wamekuwa wakitamani Mafanikio ya Watu Matajiri pasipo kufahamu Changamoto za kimaisha zilizowainua Kwenye Maisha yao mpaka kufanikiwa kwao kwa kutofikiri namna ya kujifunza kupitia hizo changamoto ili nao wainuke Kimaisha.
Ukizungumzia Wanawake wa Mfano wa kuigwa Afrika Mashariki basi jina la Mama Rwakatare ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Mlima wa moto Tanzania,Mmiliki wa Mashule ya St Mary’s International na Mbunge wa Viti Maalumu kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi Ccm huwezi kuacha kumtaja kutokana na Mafanikio Makubwa alionayo na Heshima kubwa aliojijengea kwenye Taifa kwa ukumja.
Kupitia Mahojiano haya amezungumzia mambo mengi kuhusu ndoa ,Maisha ya wanandoa,na kugusia Maisha yake kwa ufupi ili kuwafungua watu wengi ambao wanadhani ndoa ni swala la mchezo,
Mbali na hivyo amezungumzia Kongamano la wanandoa analolifanya kila mwaka la Mariage Revival Dinner party juu ya umuhimu wa Kongamano hilo na jinsi litakavyofana mwaka huu ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam siku ya Tarehe 6.March.2020 pamoja na siku ya Wanawake itakayofanyika Diamond Jubilee hall siku ya tarehe 8.March.2020 ambapo anatarajia kusimulia historia ya maisha yake yote tangu kuzaliwa kwake mpaka kufikia hapa alipo sasa.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email:
[email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline