Home » Entertainment » LIVE: KINACHOJIRI KATIKA BUNGE LA 11JIJINI DODOMA/MASWALI NA MAJIBU

LIVE: KINACHOJIRI KATIKA BUNGE LA 11JIJINI DODOMA/MASWALI NA MAJIBU

Written By Mwananchi Digital on Friday, Feb 07, 2020 | 03:42 AM

 
Bunge la 11 linaendelea jijini Dodoma huku wabunge wakipata fursa ya kuuliza maswali kadha wa kadha wakiihoji Serikali kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali katika majimbo yao