Home » News & Politics » Vijana wa Bunge la wananchi Nairobi walaumu kampuni moja ya pombe

Vijana wa Bunge la wananchi Nairobi walaumu kampuni moja ya pombe

Written By KTN News Kenya on Friday, Jan 03, 2020 | 09:15 AM

 
Vijana Wa Kundi La Bunge La Wananchi Hapa Jijini Nairobi Mapema Leo Wamelalamikia Kile Wanachokitaja Kuwa Mtindo Uliopo Wa Kampuni Za Kutengeza Pombe Nchini Kujihusisha Kwenye Ushindani Usio Na Maana. Wamedai Kwamba Kampuni Moja Imekuwa Na Desturi Ya Kuhujumu Biashara Za Kampuni Nyingine, Hali Ambayo Wanasema Si Vyema Kwa Ukuaji Wa Uchumi Wa Taifa. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.