Home » People & Blogs » Umetenda mema - Royal Martha ( official music video )

Umetenda mema - Royal Martha ( official music video )

Written By Martha Birebo on Tuesday, Dec 03, 2019 | 05:21 AM

 
Matendo yako yanashangaza Neema yako ni ya pekee U mwaminifu Bwana kwa ahadi zako Umepigana vita vingi kwangu Sijaona kamwe hujashindwa Yahweh , umetenda mema Unayotenda , yanishangaza Nilikusikia , leo nakuona We ni yahweh