Home » News & Politics » WAZIRI MABULA AZOMEWA MKUTANONI

WAZIRI MABULA AZOMEWA MKUTANONI

Written By Mwananchi Digital on Monday, Feb 18, 2019 | 10:42 AM

 
Wakazi wa kata ya Shibula wilayani Ilemela Mwanza wamemzomea Mbunge wao Angelina Mabula kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Nyamwilolewa wakati Mawaziri wanane walipokutana hapo kwa ajili ya kutembelea maeneo yenye migogoro baina ya uwanja wa ndege, Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Wananchi wenyewe. #WAZIRI . #MABULA #MWANZA