Home » News & Politics » Kabudi "apangua mtego" wa Zitto bungeni

Kabudi "apangua mtego" wa Zitto bungeni

Written By Azam TV on Friday, Nov 09, 2018 | 03:31 AM

 
Waziri wa Katiba na Sheria, Paramagamba Kabudi ashitukia mtego wa Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe. “Na mtego huo…uwe wa bahati mbaya au wa kutumwa…sito uingia kamwe.”