Home » News & Politics » Waziri Kangi Lugola amtaka IGP Sirro ajieleze

Waziri Kangi Lugola amtaka IGP Sirro ajieleze

Written By Azam TV on Tuesday, Jul 17, 2018 | 02:53 PM

 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amempa wiki mbili Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro amueleze mikakati ya kuwawezesha Watanzania kufanya shughuli zao za uchumi kwa saa 24 bila kukwamishwa na hofu ya usalama wao. Powered by #AfricanFruti from Bakhresa Group of Companies