Home » News & Politics » WANANCHI MWANZA WAJITOLEA KUJENGA OFISI YA MTAA

WANANCHI MWANZA WAJITOLEA KUJENGA OFISI YA MTAA

Written By Mwananchi Digital on Thursday, Jun 07, 2018 | 05:31 AM

 
Wakazi wa mtaa wa Mulugushi kata ya Igogo jijini Mwanza, wameanza kutekeleza mpango wa kujichangisha zaidi ya Sh30 milioni kwa ajili ya mradi wa ofisi ya mtaa huo ili kuondokana na adha ya kufuata viongozi majumbani mwao kutokana na kukosa ofisi.