Home » People & Blogs » Kwaya ya Mt Sesilia- Tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni.

Kwaya ya Mt Sesilia- Tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni.

Written By Edward Ferdinand Lukwimbi on Monday, May 14, 2018 | 08:32 AM

 
Kwaya ya Mt Sesilia kutoka Kanisa Kuu la Mt Joseph Zanzibar ( Minara Miwili ) wakiimba kwenye tamasha la uimbaji la Parokia. Kinanda kimechezwa na Edward Ferdinand Lukwimbi na mpimishaji ni John Andrew Chilewa.