Home » People & Blogs » Je Unafahamu kuhusu Saratani ya Jicho?

Je Unafahamu kuhusu Saratani ya Jicho?

Written By Tumaini La Maisha Tanzania on Wednesday, May 16, 2018 | 09:43 AM

 
Saratani ya Jicho ni moja kati ya aina za saratani zinazotokea kwa watoto kwa wingi zaidi Tanzania. Video hii itakuongezea uelewa juu ya saratani ya jicho kwa watoto na kuokoa mtoto kwenye hatari ya kupata upofu au kifo.