Home » Entertainment » ENEWZ - Duma amjia juu Gabo "Kanumba Mpya"

ENEWZ - Duma amjia juu Gabo "Kanumba Mpya"

Written By EastAfricaTV on Wednesday, May 23, 2018 | 12:34 PM

 
Msanii wa Bongo Movie Duma ameamua kufunguka juu ya fununu za chini chini zilizokuwa zikizungumzwa kuwa Gabo amesema ili kuiokoa Bongo Movie inaitajika kuandaliwa wakina Kanumba wengine, Duma akizungumza na Enewz amesema kuwa ajapendezwa na kauli hizo kwakuwa yeye na wasanii wengine wa tasinia hiyo wanauwezo sana na watu waache kumtaja taja Steven Kanumba.