Home » News & Politics » TBC1: Kikao cha Bunge Lililoundwa na Vijana 50 Chaanza!

TBC1: Kikao cha Bunge Lililoundwa na Vijana 50 Chaanza!

Written By Global TV Online on Tuesday, Mar 13, 2018 | 07:17 AM

 
TBC1: Kikao cha Bunge Lililoundwa na Vijana 50 Chaanza! Bunge la vijana lililoundwa na vijana 50 kutoka mabaraza ya vijana Unguja na Pemba, limefanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Michungwani visiwani Unguja, ikiwa ni maadhimisho ya siku ya jumuiya ya Madola duniani. Akizungumza baada ya kukamilika kwa bunge hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya jumuiya ya Madola tawi la Zanzibar, Sumaye Mohamed Said, amesema vijana hao wameendesha Bunge hilo kwa Weledi na kuwataka vijana hao kujiongezea uelewa kwa kusoma. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..