Home » People & Blogs » Mtazame Millen Magese alivyosherehekea wiki nne za mwanae Kairo

Mtazame Millen Magese alivyosherehekea wiki nne za mwanae Kairo

Written By Simulizi Na Sauti on Friday, Aug 11, 2017 | 12:07 AM

 
Mtoto wa Millen Magese, Kairo ametimiza wiki nne sasa. Kwa neema za Mungu zilizopelekea Miss Tanzania huyo wa mwaka 2001 apate mtoto baada ya kuhangaika kwa miaka mingi, ameangusha party nyumbani kwake na kualika ndugu, jamaa na marafiki