Home » News & Politics » Madaktari, Wauguzi Hatarini Kuambukizwa Ugonjwa wa Homa ya Ini

Madaktari, Wauguzi Hatarini Kuambukizwa Ugonjwa wa Homa ya Ini

Written By Global TV Online on Monday, Jul 31, 2017 | 11:08 AM

 
SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1 Madaktari na wauguzi jijini Mwanza wametahadharishwa kuhusu uwezekano wa kuambukizwa ugonjwa wa homa ya ini maarufu kitaalam kama Hepatitis B. Ugonjwa huo ambao ni rahisi kusambaa kwa njia ya hewa inasemekana kuwa ni hatari zaidi kuliko hata Upungufu wa Kinga Mwilini, Ukimwi. Iili kupata habari na matukio zaidi kwa haraka na uhakika ukiwa popote pale duniani. http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...