Home » People & Blogs » Wazee Simba kumshtaki 'MO' Dewji kwa Rais Magufuli

Wazee Simba kumshtaki 'MO' Dewji kwa Rais Magufuli

Written By Dar24 Media on Wednesday, May 17, 2017 | 09:00 AM

 
Wazee wa klabu ya mpira wa miguu, Simba wamekubaliana kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa ajili ya kufikisha kilio chao kuhusu Mohammed "Mo" Gulamabbas Dewji na baadhi ya viongozi anaoshirikiana nao kuunda zengwe la kuinunua timu hiyo. Mratibu wa Wazee Wanachama wa klabu hiyo, Felix Makuwa amesema kuwa wamefikia hatua hiyo mara baada ya kuona kuna viashiria vyenye harufu ya rushwa kubwa kutaka klabu hiyo iuzwe. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media