Home » News & Politics » EXCLUSIVE: Polisi yaongea kwanini Diamond hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida

EXCLUSIVE: Polisi yaongea kwanini Diamond hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida

Written By Millard Ayo on Friday, Feb 17, 2017 | 02:47 PM

 
Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa na AyoTV kuelezea kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari huku akiimba na kucheza wakati kuna wale wa SIngida walipelekwa mpaka Mahakamani kwa kosa hilo.