Home » News & Politics » ALICHOKISEMA GWAJIMA KUMHUSU MAGUFULI BAADA YA KUTOKA MAHABUSU

ALICHOKISEMA GWAJIMA KUMHUSU MAGUFULI BAADA YA KUTOKA MAHABUSU

Written By Global TV Online on Sunday, Feb 12, 2017 | 09:08 AM

 
“Mheshimiwa rais anapigana peke yake, kama kuna mtu ana mpango wa kunitenganisha na rais, atashindwa, huwezi kunitenganisha na rais. Pia Gwajima amewaombea Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makam wa Rais, Bi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na baadaye akamuombea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.