Home » People & Blogs » Ajali Yaua Watu 9 Mkoani Iringa

Ajali Yaua Watu 9 Mkoani Iringa

Written By SIMU. Tv on Tuesday, Dec 06, 2016 | 01:58 AM

 
Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kwenye ajali baada ya lori kugongana uso kwa uso na Hiace mkoani Iringa