Home » People & Blogs » JuuAfrika Tamasha - Nyandira Mgeta Morogoro

JuuAfrika Tamasha - Nyandira Mgeta Morogoro

Written By Dir Nelson Mkangama on Thursday, Aug 18, 2016 | 06:07 PM

 
Graphics & Video production +255 717442088, +255 767442088, +255 693355528 Ni tamasha la watu waishio milima ya Uluguru litakalofanyika kijiji cha Nyandira Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Tamasha hili linashirikisha vijiji visivyopungua tisa. Lengo la tamasha hili ni kuhamasisha, kulinda, na kutunza utamaduni na sanaa za kabila hili la Waluguru. Tamasha litafanyika septemba 2/3 2016.