Home » News & Politics » Odinga: Tume ya uchaguzi ni sharti ibadilishwe

Odinga: Tume ya uchaguzi ni sharti ibadilishwe

Written By BBC News Swahili on Friday, May 20, 2016 | 11:26 AM

 
Kiongozi wa upinzani wa Kenya, Raila Odinga ameiambia BBC kwamba hakutakuwa na uchaguzi mwakani kama maafisa wa tume ya uchaguzi hawatobadilishwa.