Home » News & Politics » Utapeli Nyeri

Utapeli Nyeri

Written By KTN News Kenya on Saturday, Jan 12, 2013 | 01:48 PM

 
Wakulima wa majani chai katika eneo la kati wanaonekana kunyemelewa na kundi la walaghai wanaowahadaa kuwavunia mazao yao kwa kiasi kidogo tu cha fedha. Ila matapeli hao wanapolipwa tu, huingia mitini- na kutoweka.baadhi ya wakulima waliozungumza na Ktn wamepoteza pesa nyingi na wanatoa tahadhari kwa wakulima wengine kujiepusha na walaghai hao wanaojitajirisha kwa jasho la wenzao.huyu hapa carol nderi na taarifa ifuatayo. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv