Home » News & Politics » Raila na kura ya pwani

Raila na kura ya pwani

Written By KTN News Kenya on Wednesday, Mar 28, 2012 | 01:42 PM

 
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv Wengi wanapomtizama mbunge wa Mvita Najib Balala na kiboko alichopeokea kutoka kwa waziri mkuu, Raila Odinga wanaona kura ya mkoa wa pwani. Kwa wengi alikuwa kiongozi mtajika mkoani humo wakati wa kampeni za urais mwaka 2007 hivi kwamba wanadai Raila Odinga haikuicheza karata yake ipasavyo. Lakini kuna wengine pia wanaosema Raila pia ana mashiko kisiasa mkoani pwani na kutokuwepo kwa Najib Balala hakutomwathiri kwa vyovyote vile. Lakini jee atanayetosha kuvalia koti la Najib Balala ni nani?